Mfumo wa Kurekodi Zaka & Sadaka — SDA Tanzania
Unalenga kupunguza kazi nzito ya kila Sabato: kuingiza kumbukumbu za zaka, sadaka ya pamoja na sadaka zote maalumu, na moja kwa moja kufanya mgawanyo wa aina zake. Tunalenga kanisa mahalia kwanza.
Kurekodi kwa haraka
Ingiza zaka na sadaka kwa utaratibu unaoeleweka, bila kurudia-rudia.
Mgawanyo otomatiki wa zaka & sadaka
Mfumo unatoa mgawanyo wa zaka/sadaka wenyewe bila kuhitaji wewe kufanya
mahesabu hayo.
Inamlenga nani
Imeandaliwa kwa ajili ya kuwarahisishia kazi wahazini na mashemasi; inabaki tu risiti.
Anza sasa
Jaribu Kikokotoo Kilichorahisishwa cha Mgawanyo wa Zaka na Sadaka au Ingia kuendelea na mfumo
uliokamilika.